Habari za Mastaa

Picha za nyumbani kwa kina Amina Ngaluma ‘Japanese’ usiku wa Mei 16 2014.

on

18dimondMuziki wa dansi Tanzania Mei 15 2014 ulipata msiba ambao umekua ni pigo kwao na Tanzania kwa ujumla, ni msiba wa Amina Ngaluma ‘Japanese’ ambae amefanya kazi kwenye bendi tofautitofauti hapa Tanzania ikiwemo African Revolution ‘Tam Tam’ pamoja na Double M Sound.

Taratibu za mazishi kwa mujibu wa mume wa Marehemu Amina Ngaluma Mr Rashid Sumuni zitatoka baadae kwa sababu bado wanasubiri mwili wa marehemu ufike na unategemewa kuingia wiki ijayo kutoka Thailand alipokua akifanyia kazi.

Mwili utazikwa maeneo ya hukohuko Kitunda Machimbo.

17dimond

22dimondNyumbani kwa Amina Ngaluma sehemu ulipo pia msiba huu.

16dimondBaadhi ya waombolezaji

15dimond

14dimond

08dimondBaba mzazi wa Marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’

06dimondMume wa Amina Ngaluma Mr.Rashid Sumuni.

 

Tupia Comments