PICHA 10:Kutoka kwenye Waukae Festival, Diamond, Rayvanny, Zuchu wainogesha
Share
2 Min Read
.
SHARE
Ni Agosti 12, 2021 ambapo Diamond, Rayvanny, Belle 9, Afande Sele, Zuchu, Dayna Nyange, Lavalava waliungana kwa pamoja kutoa burudani katika Viwanja vya Kiroka mkoani Morogoro Kusini Mashariki.
Tamasha hili liliandaliwa na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Tale a.k.a Babu Tale, hizi ni picha kutoka za mastaa waliopanda jukwaa la Wauke Festival kutoa burudani kwa wananchi waliofika katika viwanja vya Kiroka.
.Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki....Rayvanny ni miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki.Mbosso ni miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki.Zuchu miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki ...Belle 9 ni miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki.Dayna Nyange ni miongoni mwa wasanii waliopanda jukwaa la Waukae Festival Morogoro Kusini Mashariki..Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Mh Hamis Tale akisalimia maelfu ya Wananchi wa Morogoro waliojitokeza hapa katika Viwanja Vya Kiroka.
TAZAMA DIAMOND NA WASANII WENGINE WALIVYOWASILI ”WAUKAE FESTIVAL” HUKU WAKIWA NA ULINZI MKALI
TAZAMA DIAMOND NA WASANII WENGINE WALIVYOWASILI ”WAUKAE FESTIVAL” HUKU WAKIWA NA ULINZI MKALI