Top Stories

PICHA 10:Miili ya Askari waliofariki majibizano ya Risasi ikiwasili viwanja vya Kilwa Road

on

Ni Askari waliofariki katika majibizano ya Risasi mnamo Agosti 25, 2021 katika barabara ya Alhassan Mwinyi jijini Dar es Salaam, leo wanaagwa rasmi katika viwanja vya Polisi Kilwa Road.

Hapa nimekusogezea picha 10 ushuhudie tukio hilo linavyoendelea muda huu huko katika viwanja vya Kilwa Road.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

VIDEO: HESHIMA WALIYOPEWA ASKARI POLISI WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Soma na hizi

Tupia Comments