Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema
Share
Notification Show More
Latest News
Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
March 23, 2023
DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’
March 23, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Miji/Nchi > PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema
Miji/Nchi

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

August 5, 2021
Share
2 Min Read
.
SHARE

Kama unahitaji Nyumba ama kupanga kwenye mwezi huu wa Agosti 2021 basi mtu wangu haujachelewa unaweza fika Mikocheni Warioba kwenye Jengo la Palm Village Apartments and Shopping Mall.

Ambapo zinauzwa Two bedrooms Apartment yenye Sqm 110, kuna 2 bedrooms Apartment yenye Sqm 117, 3 bedrooms Apartment yenye Sqm 126, kuna 3 bedrooms Apartment yenye Sqm 175 na kuna 4 bedrooms Apartment yenye Sqm 231.

Kuna Apartments zenye Sea View (Muonekano wa Bahari) na City View (Muonekano wa Mji),utachagua tu mwenyewe kulingana na jinsi unavyopenda, bei za kununua zinaanzia $172,000 na kuendelea na bei zinatofautiana kutokana na aina ya nyumba na floor utakayochagua

Pia malipo unaweza kulipia kwa awamu yaani kwa kuanza na 20% tu ya gharama yote na utapata hadi muda wa miaka miwili (2) kumalizia malipo yako taratibu.

Unaweza ukawapigia. :0659 800 800
Website : www.palmvillage.co.tz
Email. : Info@palmvillage.co.tz

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

NYUMBA YA MILIONI 600 INAYOUZWA PALM VILLAGE MIKOCHENI

TAZAMA RAIS KAGAME AKIMUENDESHA RAIS SAMIA NCHINI RWANDA

You Might Also Like

Zawadi za TV na fridge zinaendelea kumiminika kwa wateja wa Infinix

PICHA 10:Muonekano wa jiji la DAR ukiwa umesimama katika jengo la Palm Village

Je wajua kuhusu Majengo pacha Dar es Salaam, fahamu hapa

Picha 14 za muonekano wa Kituo Kikuu cha Daladala Jamatin, Dodoma

Afrika imetajwa kuwa na mji wenye gharama zaidi kuishi duniani (+List)

Edwin TZA August 5, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: Barcelona watangaza kuachana na Messi
Next Article Tazama Sabaya afika Mahakamani amewekewa kitu mkononi (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
Entertainment March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Top Stories March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Top Stories March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Sports March 23, 2023

You Might also Like

Sports

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

March 23, 2023
Sports

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

March 22, 2023
Sports

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

March 18, 2023
SportsTop Stories

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

March 17, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?