Picha 10:Viongozi mbalimbali waliofika Karimjee kumuaga Kwandikwa
Share
2 Min Read
.
SHARE
Ni Agosti 6, 2021 ambapo Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Marehemu Elias John Kwandikwa umeagwa rasmi leo Dar es Salaam, sasa hapa millardayo.com imekusogezea picha 10 za Viongozi walioshiriki shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
......Pichani:Aliesimama ni Makamu wa Rais Dkt.Philip Isdor Mpango miongoni mwa Viongozi walioshiriki shughuli ya kumuaga aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa iliyofanyika Karimjee DSM.Picha:Viongozi mbalimbal wakiwa katika meza kuu kwenye shughuli ya kuuwaga Mwili wa aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Elias John Kwandikwa..Pichani (Kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi akiwa na Mama Salim Kikwete katika shughuli za kuuwaga Mwili wa aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias John Kwandikwa iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee DSM.Pichani (Kushoto) Mbunge Mussa Azzan Zungu akiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (mwenye shati la kijana) katika shughuli ya kuuwaga Mwili wa aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias John Kwandikwa..Mbunge Mussa Azzan Zungu ni miongoni mwa viongozi waliosimama kuzungumza machache yale yaliyofanywa na aliekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias John Kwandikwa
ZUNGU AFUNGUKA “TULIMUAMBIA HAPANA KWANDIKWA, PITA HIVI MPAKA YAMFIKIE RAIS”
HUZUNI: TAZAMA MWILI WA WAZIRI WA ULINZI UKIWASILI KARIMJEE KWA AJILI YA MISA NA KUAGA