Top Stories

Picha 11: Kutoka kwenye maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar

on

Ni January 12, 2022 ambapo zimefanyika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani.
Sasa hapa nimekusogezea baadhi ya picha ushuhudie matukio mbalimbali yale yaliyojiri huko Zanzibar ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi,  Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na wengineo.
Picha hizi kwa hisani ya Wizara ya Habari.

.Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi alipokagua gwaride katika sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Zanzibar.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

TAZAMA GWARIDE LA MAKOMANDOO WAONYESHA UKAKAMAVU MBELE YA RAIS MWINYI

 

Soma na hizi

Tupia Comments