Top Stories

Picha 12 kutoka Kenya ziara ya Rais Samia akiwa na Kenyatta

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi, leo Mei 4, 2021.

Rais Samia ameanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya, ambayo ni mwaliko wa Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021.

LIVE: RAIS SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Soma na hizi

Tupia Comments