Habari za Mastaa

Picha 12:Kutoka kwenye tamasha la Dar Sunset Carnival Coco Beach

on

Kutokea Dar es Salaam 88.5 ambapo tamasha la DARSUNSET CARNIVAL limewakutanisha wakazi wa jiji hilo kwa pamoja katika Fukwe za Oysterbay maarufu kama Coco kwa lengo kukuza sekta ya Utalii.

Mbali na wakazi wa Dar es Salaam, viongozi wa Kiserikali akiwemo Mkuu wa Mkoa, Amos Makalla na wasanii mbalimbali wamejitokeza, akiweno Barnaba, Meja Kunta na Linex.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

UKAKAMAVU: WANAJESHI WAPINDISHA NONDO MBELE YA KIM KOREA KASKAZINI.

Soma na hizi

Tupia Comments