Top Stories

Picha 13: Muonekano wa Soko la Karume Jan 17, 2022

on

Hizi ni picha za hali ilivyo kwenye Soko la Karume leo January 17, 2022 ambapo Wafanyabiashara wameruhusiwa kuweka alama kwenye maeneo yao kwa ajili ya kujihakikishia usalama wa maeneo hayo wakati huu ambapo wanasubiri siku saba za ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa chanzo cha moto ulioteketeza soko hilo.

Uamuzi wa Wafanyabiashara kuruhusiwa kuweka alama umefikiwa leo kwenye Kikao kati ya DC wa Ilala na Viongozi wa Wafanyabiashara baada ya Wafanyabiashara kushinikiza kuingia kwenye eneo hilo ili waendelee na kazi.

“Viongozi wetu wamekubali turudi kuweka alama katika utaratibu waliopanga, watahakiki majina ya Wafanyabiashara wote, miundombinu itaongezwa” Kiongozi Sekta ya Wauza Mitumba Karum, Salum

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments