Michezo

PICHA 13: Wasanii wanaoishabikia Simba SC wamekutana na Waandishi wa Habari

on

NI Septemba 15, 2021 ambao wasanii wanaoishabikia Club ya Simba wamekutana katika Duka la mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuzungumza na waandishi wa Habari Kuelekea Simba Day siku ya Sept 19 pale Uwanja wa Mkapa Wasanii waliohudhuria ni wa Bongo Movie na wa Bongo Fleva ambao ni Pamoja Na Bambi, Whozu, Meja kunta , Ben Kinyaiya, Mwasiti, JB, Quick Rocka na wengine.

Hizi ni baadhi ya picha mbalimbali unaweza ukazitazama hapa.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

VIDEO: MADOIDO YA MSANII WHOZU NA MEJA KUNTA KUELEKEA SIMBA DAY

BIFU LA MWIJAKU NA MRISHO MPOTO LIMEISHA, WAKUTANA USO KWA USO, WAJITAPA KUELEKEA SIMBA DAY

Soma na hizi

Tupia Comments