Top Stories

PICHA 13:DC Jokate ashiriki uzinduzi wa kiwanja cha Basketball Kisarawe

on

Leo Kisarawe Mkoani Pwani umefanyika uzinduzi wa kiwanja cha Basketball ambapo jiwe la Msingi liliwekwa na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete mapema mwaka huu.

Kiwanja hicho ni miongoni mwa viwanja 100 vya Basketball ambavyo vinajengwa Afrika kupitia project ya Giant Of Africa ambayo imeanzishwa na Rais wa club ya Basketball ya Toronto Raptors ya NBA anayejulikana kwa jina la Masai Ujiri.

Hii ni project iliyoanzishwa na aliyekuwa DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo kutokana na kuwa na mahusiano mema na Masai Ujiri, uzinduzi huo umefanywa na Mkurugenzi wa Michezo Yusuph Singo, DC wa Kisarawe Nickson Simon.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Picha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo akiwa na Rais wa club ya Basketball ya Toronto Raptors ya NBA anayejulikana kwa jina la Masai Ujiri.

.Pichani:Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nickson Simon akiwa na wadau wa Basketball

KIPIGO CHA SIMBA, DC JOKATE AFUNGUKA “WAMENIVALISHA JEZI, KWA UPENDO”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments