Top Stories

PICHA 13:Muonekano wa Mgahawa unaoelea kwenye Maji visiwani Zanzibar

on

Miongoni mwa vivutio vinavyopatikana visiwani Zanzibar ni hii Floating BAR & Restaurant ambayo Watalii wengi ufika katika Mgahawa huo kupata huduma mbalimbali.

Mgahawa huu umetengenezwa kwa Mbao imara ambazo zina uwezo wa kudumu kwa muda mrefu katika maji.

Na inaelezwa Mgahawa huo una huduma mbalimbali ikiwemo Bar, Mahali Pakulala, Mahali Pakupumzika na nyinginezo.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

TAZAMA RAIS SAMIA ALIVYOONDOKA NA AIR TANZANIA KWENDA MISRI

Soma na hizi

Tupia Comments