Duniani

PICHA 20: Shambulio la kujitoa muhanga lasababisha vifo uwanja wa ndege Uturuki

on

Imeripotiwa kuwa watu 36 wameuawa katika shambulio la kujitoa muhanga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ataturk Istanbul nchini Uturuki na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa, shughuli za usafirishaji katika uwanja huo zimesitishwa huku shughuli ya uokoaji na huduma ya kwanza vikiendelea.

Gavana wa mji wa Istanbul amethibisha kuuawa watu haona idadi hiyo ya majeruhi. Mashuhuda wanasema waliwaona washambuliaji watatu ambapo mmoja kati yao alikuwa akifyatua risasi kabla ya kujitoa muhanga kwa kujilipua kwa bomu na kufa.

DM GRAB - Ataturk Airport International Terminal terrorists images appeared on the departures floor. Images of the Russian national airline Aeroflot experienced moments of horror in front of the bank where the check-in office and this was reflected in the cameras. (Haberturk News Centre)

Hata hivyo mashambulizi hayo yalihusisha katika eneo la kuingia katika uwanja huo. Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amelaani shambulio hilo na kusisitiza umoja katika kutokomeza vitendo hivyo.

.

.

.

.

.

.

.n

.n

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIKOSA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA KITUO CHA MAWASILIANO YA POLISI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments