Top Stories

PICHA 15:Rais Samia apokea kombe la Ubingwa wa COSAFA Ikulu DSM

on

NI Rais Samia Suluhu Hassan ambae leo amepokea kombe la Ubingwa wa COSAFA kutoka kwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Stars Ikulu Dar es Salaam.

Akizungumza katika hafla hiyo alisema…’Nawapongeza Wachezaji wa Twiga Stars wote, nianze na Walinda mlango kwa ufanisi lakini zaidi ni Mwanangu Zubeda Mgunda kwa kudaka mikwaju ya penalt kwenye mechi vs Zambia, nilipoangalia wakati unadaka Penalt zilijia taswira za Magolikipa wakubwa Duniani kama vile Fabien Barthez wa Ufaransa, Oliver Kahn wa Ujerumani au Juma Pondamali na Hamis Kinye wa hapa Tanzania “- Rais Samia Suluhu Hassan

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

RAIS SAMIA ANAHUTUBIA, AWAPONGEZA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA TWIGA STARS IKULU DSM

Tupia Comments