Top Stories

PICHA 16:Kesi ya Mdude yaahirishwa,Mbowe na Mbilinyi wafika mahakamani

on

Picha mbalimbali za leo hapa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ambako hukumu ya Mdude Nyagali ilikuwa ikitarajiwa kusomwa leo, hata hivyo hukumu hiyo ya kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya imeahirishwa hadi June 28, 2021. sasa millardayo.com imekusogzea picha sita viongozi wa Chadema walivyofika mahakamani hapo akiwemo Mwenyekiti Freemsm Mbowe pamoja na Joseph Mbilinyi.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

MBOWE ATOA KAULI HUKUMU YA MDUDE CHADEMA “MSICHOKE HAKI ITAPATIKANA, HAKIMU HAJAKAMILISHA HUKUMU”

Soma na hizi

Tupia Comments