Michezo

Picha 16:Kutoka kwenye mechi ya Simba na Yanga DSM

on

NI Disemba 11, 2021 ambapo watani wa jadi  Simba SC na Yanga  FC walikipiga katika uwanja wa Benjamin Mkapa na matokeo kumalizika Bila kwa Bila yaani Simba 0 – 0 Yanga.

Sasa hapa Millardayo.com imekusogezea ushuhudie picha mbalimbali kile kichojiri uwanjani kwa Mkapa.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments