PICHA: Leo ni boxing day ya Mfalme Alikiba ambapo bado mabox ya picha za tukio lake la jana la kuachia album mpya ya ‘Only One King’ yanaendelea kufunguliwa manake kwa jinsi usiku ulivyokua mrefu na wenye rekodi nyingi za vibe, isingekua rahisi kuacha kupost picha hizi.
Hizi ni sehemu ya picha kuanzia kwenye moments za listening party ya ‘Only one King’ mpaka alipofnaya mahojiano kwenye kipindi cha AMPLIFAYA ya , picha nyingine zaidi zinakuja, pia unaweza kutazama video ya tukio zima kwenye youtube ya ‘millardayo’
OMMY DIMPOZ ASIMULIA KIBA ALIVYOOKOA MAISHA YAKE “HATA NIKIMFUMANIA NA MKE WANGU NA MSAMEHE”
SHILOLE ATAKA KUDONDOKA UKUMBINI, AVIPONDA VIATU VIREFU KWENYE SHUGHULI YA ALIKIBA
MAMA ALIKIBA KWA MARA YA KWANZA AKITAMBULISHA WIMBO MPYA WA ALIKIBA