PICHA 3:Rais Samia Suluhu Hassana amewasili nchini Burundi
Share
1 Min Read
.
SHARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan tayari amewasili nchini Burundi kwa ajili ya ziara ya siku mbili.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda Mti wa Mwembe mbele ya Jengo la Ikulu ya Ntare House Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo tarehe 16 Julai,2021. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura leo tarehe 16 Julai, 2021