Mix

PICHA 4: Rais Magufuli amjulia hali Waziri mkuu mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.

Soma na hizi

Tupia Comments