Michezo

PICHA 4: Uganda walivyotwaa Kombe la CECAFA 2019

on

Uganda The Cranes wameibuka Mabingwa wapya wa CECAFA Senior Challenge Cup 2019, baada ya kuifunga Eritrea 3-0, hivyo Uganda wanafanikiwa kulibakiza Kombe hilo katika ardhi yao ya nyumbani kutokana na kuwa wenyeji wa michuano hiyo.

Magoli ya Uganda yalifungwa na Bright Anukani dakika ya 32, Mustafa Kizza dakika ya 68 na Joel Madondo dakika ya 88, kwa upande wa timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro’ wao wamemaliza nafasi ya nne baada ya kupoteza kwa magoli 2-1 katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Kenya.

AUDIO: Haruna Niyonzima anarudi Yanga? Bumbuli katoa jibu hili

Soma na hizi

Tupia Comments