Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei ambae pia alishinda tenda ya kutengeneza jezi na vifaa vya michezo vya Simba kwa mkataba wa miaka miwili yenye thamani ya Sh 2 bilioni.
Leo hii Septemba 8, 2021 amefika Bungeni Dodoma kama mgeni mwaliko, hizi ni baadhi ya picha kadhaa kutokea Bungeni.




DC JOKATE AISIFIA JEZI YA SIMBA SC “KWELI UZI NI MKALI ILA WA JANGWANI KIBOKO YAO”