Michezo

Picha 6: Kikosi cha Simba kilivyowasili Dar kikitokea Zambia

on

Kikosi cha Simba SC kimewasili usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam kikitokea Lusaka Zambia.

Ambapo kilikwenda kucheza mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrrows.

Licha ya kufungwa 2-1 Simba wamefuzu kucheza hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa ushindi wa jumla wa magoli 4-2.

Millardayo.com imekusogezea ushuhudie picha kadhaa hapa namna walivyorejea nchini.

.

.

.

.

.

.

“NILITAKA MUDA ZAIDI KUJIANDAA NA YANGA ILA NINA SIKU 3 TU”-KOCHA WA SIMBA SC BAADA YA KURUDI BONGO

Soma na hizi

Tupia Comments