Michezo

Picha 6:DC Jokate kahamia Simba SC?, aibuka Simba DAY na kuivaa jezi

on

Septemba 19, 2021 ndio kilele cha wiki ya Simba yaani Simba Day ambapo mashabiki wa timu hiyo wamejitokeza kwa wiki katika uwanja wa Benjamin Mkapa na inaelezwa hadi sasa tiketi zimeuzwa zote.

Sasa miongoni mwa yanayojiri uwanjani hapa nimekusogezea picha ushuhudie Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo akivaa jezi ya Simba SC ambapo hili limeleta maswali yasiyo na majibu kama amehamia rasmi kama shabiki wa timu hiyo ila endelea kukaa karibu na Ayo TV  & Millardayo.com tutakuletea habari kamili.

Ikumbukwe hapo awali Jokate Mwegelo alikuwa ni shabiki kindaki ndaki wa Wananchi yaani Yanga SC.

.

.

.

.

.

KIKOSI CHA TP MAZEMBE KILIVYOINGIA UWANJA WA TAIFA KUMINYANA NA SIMBA

SHABIKI WA SIMBA KATOKA SANYA JUU MOSHI, MAMA KABEBA MTOTO “LAZIMA WAPIGWE”

Soma na hizi

Tupia Comments