Top Stories

Picha 6:Mbunge Askofu Gwajima afika bungeni, aitikia wito kamati maadili

on

NI Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ambae Agosti 23, 2021 tayari amefika Bungeni mkoani Dodoma  kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

Camera za Ayo TV & millardayo.com zimemnasa Mbunge huyo Gwajima wakati akiingia Bungeni.

.

.

.

.

.

.

ASKOFU GWAJIMA NA JERRY SLAA WAITWA KAMATI YA MAADILI BUNGENI “KUJIBU TUHUMA IKIWEMO KUSEMA UONGO”

Soma na hizi

Tupia Comments