Top Stories

Picha 6:Mbunge Jerry Slaa afika bungeni, aitikia wito kamati maadili

on

Ni agosti 24, 2021 ambapo Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa amefika bungeni muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII YA ASKOFU GWAJIMA ALIVYOTINGA BUNGENI DODOMA KUHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI

 

Soma na hizi

Tupia Comments