Habari za Mastaa

PICHA 6:Mrembo Hamisa Mobetto alivyowasili Dar akitokea Dubai

on

NI Mrembo Hamisa Mobetto ambapo leo 27, Novemba 2021 amewasili katika uwanja wa kimataifa JNIA Dar es Salaam.

Hapa nimekusogezea baadhi picha ushuhudie namna mrembo huyo alivyotua Dar es Salaam akitokea Dubai ambako alionekana akiwa na ukaribu na msanii wa Marekani Rick Ross.

.

.

.

.

.

.

TAZAMA HAMISA MOBETTO ALIVYOTUA BONGO, AFUNGUKA “BATA NA RICK ROSS”

HAMISA MOBETTO KAFUNGUKA KUHUSU FRED VUNJA BEI “SINA MAZOEANA NAE”

Soma na hizi

Tupia Comments