Habari za Mastaa

Picha 6:Msanii Whozu apata shavu la ubalozi Agosti 14, 2021

on

Ni Headlines za staa kutokea lebo ya Too Much Money, Whozu ambae leo Agosti 14, 2021 ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutangazwa rasmi kuwa balozi wa kutangaza bidhaa za  KodTEC.

Kodtec ni kampuni inayohusika kwa uuzaji wa bidhaa mbalimbali,  Millardayo.com imekusogezea picha 6 ujionee namna staa huyo alivyotambulishwa mbele ya waandishi wa habati.

.

.

.

.

.

.

TAZAMA NANDY ALIVYOWASILI NA GARI YAKE YA THAMANI KWENYE UTAMBULISHO WA EP YAKE MPYA YA TEST EP

 

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOSHANGAZA WATU BAADA YA KUINGIA NA BAISKELI KWENYE PARTY YA KAKA YAKE

 

 

 

Tupia Comments