Mix

PICHA 6:Tabasamu la Rais Samia baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM

on

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM wamemchagua Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kura za ndiyo 1862 sawa na asilimia 100 ya kura zote

Hapa nimekuwekea picha 6 zinazoonesha tabasamu lenye furaha la Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM

.

.

.

.

.

.

TAZAMA RAIS SAMIA ALIVYOCHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA

 

 

 

Tupia Comments