Habari za Mastaa

PICHA 7: Birthday Party ya Romy Jons, Mastaa kibao walialikwa

on

Usiku wa August 13 2021 ulikuwa ni usiku wa Birthday Party ya ndugu wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Official DJ, Romy Jons ambapo mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Flevani walialikwa sanjari na team nzima ya WCB.
Millaardayo.com imekusogezea picha 7 ujionee Mastaa Mbalimbali akiwemo Diamond, s2kizzy, Lunya, Baba Levo, Lavalava, Gigy Money na wengineo Waliohudhuria kwenye Party ya Romy Jons iliyofanyika Elements Club  Masaki Dar es Salaam.

.

.

.

.

.

.

.

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOSHANGAZA WATU BAADA YA KUINGIA NA BAISKELI KWENYE PARTY YA KAKA YAKE

 

MBWEMBWE ZA MSANII DARASA NA CREW YAKE WAKIWASILI KWENYE UTAMBULISHO WA EP YA MSANII NANDY

Soma na hizi

Tupia Comments