Mix

Picha 7:Baada ya agizo la Makamu wa Rais, Waziri Makamba afika Kigoma

on

Waziri wa Nishati January Makamba Amefika Kigoma baada ya agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango kumuagiza Waziri wa Nishati hadi kufikia October 15, 2021 awe amefika Kigoma ili kutatua kero ya kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara ambayo imedumu Mkoani humo kwa zaidi ya mwezi miwili.

Mpango alitoa maagizo hayo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Wananchi Juu ya kukatikakatika Umeme Mkoani kigoma September 22 katika ufunguzi wa maonesho ya tatu ya Shirika la Viwanda Vidogo ( SIDO ) 2021 ambayo Kitaifa yalifanyika Wilayani Kasulu Mkoani kigoma.

.

.

.

.

.

.

.

MAKAMU WA RAIS AMUAGIZA MAKAMBA”TANESCO TUTAFAGIA WOTE NARUDIA MARA YA MWISHO”

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA KWENYE UZINDUZI WA VITUO VYA JUMUISHI VYA UTOAJI HAKI NCHINI

Soma na hizi

Tupia Comments