Top Stories

PICHA 8: Wasanii wa Nandy Festival wafika Ikulu ya Zanzibar

on

Wasanii waliotoa burudani usiku wa July 21, 2021 kwenye Tamasha la Nandy Festival visiwani Zanzibar wamepata Mwaliko wa kumtembelea Rais wa Zanzibar DR Hussein All Mwinyi.

Moja ya mambo waliyozungumza ni pamoja na ushirikiano wa Serikali na wasanii kwa lengo la kukuza Utalii wa Zanzibar na kukuza sanaa ya wasanii wa muziki na Filamu kutokea visiwani humo Zanzibar

.

.Msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy akimsikiliza kwa umakini Rais wa Zanzibar Dr Ally Hussein Mwinyi

.Mtangazaji wa Ayo TV akimsikiliza kwa umakini Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi visiwani Zanzibar

.

.Wakali wanaounda kundi la Mabantu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Ally Mwinyi visiwani Zanzibar

.Mwimbaji wa Taarabu, Isha Mashauzi ni miongoni mwa waliopata mwaliko wa Ikulu Zanzibar kuzungumza na Rais Dr. Hussein Ally Mwinyi.

.

.

TAZAMA NANDY NA WASANII IKULU, USO KWA USO NA RAIS MWINYI, WAZUNGUMZA HAYA

 

 

TRENI YAPATA AJALI MOROGORO IKIWA NA ABIRIA 1370 “DEREVA AMEFARIKI, KUNA MAJERUHI”

Tupia Comments