Top Stories

Picha 8:Muonekano wa Ujenzi wa barabara ya Mwendokasi Mbagala DSM

on

Ni Octoba 13, 2021 ambapo camera za millardayo.com zimenasa picha 8 ushuhudie Ujenzi wa barabara ya Mwendokasi unaoendelea huko Mbagala Dar es Salaam.

Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa alipowahi kufanya ukaguzi katika ujenzi wa barabara hiyo alisisitza na kutoa maagizo kwa wasimamizi wamalizie ujenzi huo.

“Barabara hii ambayo ni BRT  inajengwa mbili ambapo  kwa route ya kwanza ambayo ni Shilingi Bilioni 217 na route ya pili ambayo ni majengo shilingi  Bilioni 45, kazi inaendelea vizuri”- Waziri Mbarawa

“Naomba wasimamizi wahakikishe ujenzi huu unakamilika kwa haraka”- Waziri Mbarawa.

.

.

.

.

.

.

.

HILI NDILO KABURI LA HAYATI MAGUFULI, LAJENGEWA NYUMBA, MAJALIWA AFIKA

 

Soma na hizi

Tupia Comments