Top Stories

PICHA 9: Usiku huu jijini DSM foleni iliyosababishwa na mvua

on

Moja kati ya changamoto waliyoipata wakazi wa jiji la Dar es Salaam ni mvua kubwa kunyesha kutwa nzima na kupelekea baadhi ya shughuli kutokwenda katika mfumo wake wa kawaida.

Adha kubwa leo wameipata wenye magari ambao hadi kufika saa saba usiku wa October 14 2020, hali ilikuwa hivi kutokea Posta hadi kufikia maeneo ya Morocco, hii sio hali ya kawaida kwa jiji la Dar es Salaam kuwa na foleni nyakati za usiku millardayo.com imekuwekea picha zote hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments