Habari za Mastaa

Picha 9:kutoka kwenye Uzinduzi wa Ep ya Nandy “TASTE”

on

Usiku wa kuamkia Agosti 13, 2021 Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Mkali Nandy amealika Watu wake wa karibu wakiwemo Wasanii kwenye Session ya Taste EP yake, Party imefanyika maeneo ya Mbezi na hivi ndivyo Nandy alivyowasili na Range Rover yake Evoque ya 2012.

Millardayo.com imekusogezea picha 9 ushuhudie namna ilivyokuwa tukio hilo.

,

.

.

.

.

.

.

.

.

NANDY AFUNGUKA BILLNASS KUWA NA MTOTO “MTOTO WAKE, MIMI NATAKA MTOTO, AKIAMUA”

TAZAMA NANDY ALIVYOWASILI NA GARI YAKE YA THAMANI KWENYE UTAMBULISHO WA EP YAKE MPYA YA TEST EP

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments