Habari za Mastaa

PICHA: Alivyoagwa mchungaji Mitimingi kanisani kwake leo

on

Kutoka Kanisa la Ghala la Chakula cha Uzima (WCC), DSM, leo imefanyika Ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mchungaji Peter Mitimingi ambapo waumini wa Kanisa hilo wameungana na waombolezaji wengine, Familia na Watumishi mbalimbali wa Mungu katika kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu.

Picha zinaonesha matukio yote kuanzia mwili ulipowasili kanisani, Ibada ya kuuaga hadi mwili kuondolewa kanisani kwa ajili ya maandalizi ya mazishi (swipe)

R.I.P Ndugu yetu

 

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments