Michezo

PICHA: Arsenal wazindua jezi zao za nyumbani watakazotumia 2020/21

on

Club ya Arsenal ya England wameonesha jezi zao mpya watakazozitumia katika michuano mbalimbali katika msimu wa 2020/21, jezi hizo za nyumbani za Arsenal zimetambulishwa na wachezaji kadhaa akiwemo nahodha wao Pierre Emerick Aubameyang ambaye kwa kuonekana katika uzinduzi huo inaashiria kuwa haondoki.

Hata hivyo jezi hizo zilizotengenezwa na kampuni ya Adidas ni wazi sasa Arsenal wamethibitisha kuwa watazivaa katika mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu England dhidi ya Watford na katika mchezo wa fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea.

VIDEO: KIMENUKA YANGA, MORISSON KASUSA AKIMBIA NJE UWANJANI “ACHA MASHABIKI WANIPIGE”

Soma na hizi

Tupia Comments