Mei 13, 2022 Msanii Baba levo na Mtangazaji wa Kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM, Mwijaku wametangazwa rasmi kuwa Mabalozi wa kampuni ya usafisrihaji iitwayo Silent Ocean.
Aidha wawili hao wamesema kuwa kwa mara ya kwanza wameamua kuiunga mkono kampuni hiyo na kuunda kundi lao liitwalo MWIBA ambalo litahusika kuhamasisha wateja kufanya kazi na Kampuni hiyo.