Top Stories

Picha: DC Gondwe akiambatana na Viongozi wajadili matukio yaliyoibuka DSM ‘Panya Road’

on

Kufuatia tukio la Panya Road Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe akiambatana na Viongozi wa ulinzi na Usalama amekutana na Viongozi mbalimbali wa Serikali za mitaa na kuwataka kufanya vikao vya mara mara ili kutatua changamoto.

.

.

” kwenye mitaa yetu watu wanakuja na kuondoka hatujui kwasababu hatuna vikao vya mara kwa mara vya kuweza kujua jambo gani linatokea mtaani kwako, leo tumekuja kuwaambia wana kinonondoni wenyeviti wa mitaa, wendaji na viongoizi wa wilaya kinondoni iko salama” DC gondwe

.

.

Tupia Comments