Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Picha: Dkt Tulia awatembelea wahanga wa mafuriko ya mvua Mkoani Mbeya
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Picha: Dkt Tulia awatembelea wahanga wa mafuriko ya mvua Mkoani Mbeya
Top Stories

Picha: Dkt Tulia awatembelea wahanga wa mafuriko ya mvua Mkoani Mbeya

January 8, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo Januari 9, 2023 amefanya ziara ya kuzitembelea kaya zilizoathirika na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha Jijini humo.

Katika ziara hiyo Dkt. Tulia amejionea athari ya mvua hiyo ikiwemo uharibifu wa miundombinu, nyumba na mali mbalimbali za wananchi katika maeneo ya Kata za Igawilo, Uyole, Iganjo na Iduda.

Dkt. Tulia amewapa pole wahanga wa mafuriko hayo na kuwaahidi kwamba atashirikiana na Serikali kuhakikisha wanaboresha miundombinu ya Jimbo hilo ili kuwezesha kupunguza athari kama hizo zisijitokeze tena.

Pamoja na mambo mengine Dkt. Tulia ametoa msaada kilo 800 za mchele na kilo 200 za maharage kwa wahanga hao huku akiahidi kushirikiana na mamlaka za Serikali na wadau ili kufanikisha upatikanaji wa misaada zaidi.

“Ndugu zangu niwape pole sana kwa haya maswahibu yaliyowakuta, niwahakikishie Serikali yenu tukufu ipo nanyi katika kipindi hiki na nimeongea na Mheshimiwa Waziri Mkuu kumuelezea haya na amenihakikishia kwamba watakuja kufanya tathimini ili kuona hatua ya kufanya ili kukabiliana na janga hili” Amesisitiza Dkt. Tulia

.
.
.
.
.
.
.
.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 8, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Exclusive: Maisha ya Wahdzabe wanavyokula Nyani (video+)
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 9, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?