Michezo

PICHA: FC Bayern ndio Mabingwa wa UEFA Super Cup

on

Mabingwa wa UEFA Champions League FC Bayern Munich ya Ujerumani leo wamewaonesha Ubabe Mabingwa wa Europa League club ya Sevilla FC kutokea Hispania katika mchezo wa fainali wa UEFA Super Cup.

Thomas Muller mchezaji bora wa mechi

Mchezo huo uliochezwa Budapest Hungary umemalizika kwa FC Bayern Munich kuwa Bingwa wa Kombe hilo kwa kuifunga Sevilla magoli 2-1 mchezo ambao ulilazimika owenda dakika 120 ili kupata mbabe.

Ushindi huo unaifanya FC Bayern Munich ndani ya mwaka 2020 kuwa imepata ushindi katika mchezo wa 23 mfululizo lakini ni mchezo wao wa 32 wakicheza bila kupoteza na hilo ndio taji lao la nne ndani ya mwaka 2020.

Soma na hizi

Tupia Comments