Ni Mach 29 ,2024 ambapo Jioni ya leo Mfanyabiashara na Rais kampuni ya GSM, Ghalib Said aungana na Mkuu Wilaya ya Kigamboni, Mhe Halima Bulembo na Rais wa Klabu ya Young Africans Hersi Said na baadhi ya wafanyakazi kwenda kupata iftar ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Wama Nakayama girls secondary school iliyopo Nyamisati Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani.
Aidha mbali na futari hiyo pia Wanafunzi waliweza kupata misaada mbalimbali ikiwa kama sehemu ya Mahitaji yao ya hapo shuleni.