Michezo

Picha: Hassani amvisha pete mpenzi wake uwanjani

on

Staa wa Minnesota FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS) Hassani Dotson amegonga vichwa vya habari namna alivyoamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Petra Vuckovic baada ya mechi.

Hassani alifanya tukio hilo baada ya sare ya 2-2 dhidi ya San Jose Earthquake ndipo alipomuita mpenzi wake Petra na kum-surprise.

Soma na hizi

Tupia Comments