Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida
MixNews UpdatesStori Pekee

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

December 16, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba amepokea madarasa 29 yenye thamani ya milioni 580 kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry Muro ikiwa ni utekelezaji wa agizo lake la kuwataka wakuu wa wilaya kukabidhi vyumba vipya vya madarasa leo tarehe 15/12/2022.

Akizungumza wakati wa makabishiano hayo Mkuu wa Mkoa wa Singida amesema wilaya ya Ikungi imekuwa ya kwanza kwa vipindi viwili mfululizo kumaliza miradi ya ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa kwa mkoa wa singida ambapo amempongeza Dc wa Ikungi Jerry Muro pamoja na mkurugenzi wa halmashauri ya ikungi Justice kijazi na mwenyekiti wa halmashauri Ali mwanga kwa kusimamia kikamilifu ujenzi wa madarasa hayo ambayo yamekuwa na kiwango bora kinachoendana na thamani halisi ya fedha.

Akikabidhi madarasa hayo katika hafla iliyofanyika katika shule ya Secondary ya isuna mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia wilaya ya Ikungi kupewa milioni 580 na kusisitiza kukamilika kwa madarasa hayo kunatoa fursa ya kuanza maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza mapema mwezi January mwaka 2023 na kusisitiza katika wilaya ya ikungi hakuna mwanafunzi atakaepangiwa katika shule za ikungi atakosa darasa na kiti na meza mana wameshakamilisha pia uwekaji wa viti 1,160 pamoja na meza zake umekamilika kwa shule zote 16 na kilichopo ni wazazi kuandaa watoto.

Wakiongea kwa niaba ya wananchi Mbunge wa jimbo la singida mashariki Miraji Mtaturu pamoja na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya ikungi wamewataka wananchi kujiandaa kutumia miundombinu hiyo vizuri kwa kupeleka watoto shule pamoja na kulinda na kutunza miundombinu hiyo uku wakiendelea kumuomba Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuleta fedha zingine za miradi kutokana na miradi kusimamiwa vizuri Ikungi.

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

TAGGED: Stori Pekee
Rama Mwelondo TZA December 16, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mrembo Haitham Kim na Kontawa wametuletea hii single mpya ‘Kitu Kizito’
Next Article 2022 So far: ‘Sallam SK’ afungua kituo cha kurusha matangazo ‘Radio’ DSM
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?