Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasili wilayani Gairo mkoani Morogoro tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 9 akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu).


