Machi 26, 2022 zinafanyika utoaji wa tuzo kwa wanawake, tuzo ambazo zimepewa jina la Malkia wa Nguvu zilizoandaliwa na Clouds Media Group na tukio linafanyika katika ukumbi wa Mlimani City Hall Jijini Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye hafla hiyo.
KWA MARA YA KWANZA WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU UJENZI “TUSIPOTEZE MUDA, TUJENGE”