Kutokea Wilayani Kasulu, mkoani Kigoma leo yamefanyika mazishi ya Mama mzazi wa Prof.Joyce Ndalichako, Mary Ndalichako aliyefariki Dunia Mei 20, katika Hosptali ya Taifa Muhimbili.
Ndugu, Jamaa, Viongozi wa Chama na serikali wakiwemo wabunge wamehudhuria mazishi hayo ya Marry Ndalichako aliyezaliwa mwaka 1940, huku akiwa ameacha watoto 8 na Wajukuu zaidi 20.