Habari za Mastaa

Picha: Kutoka kwenye redcarpet ya utoaji wa tuzo za muziki Tanzania 2022

on

Ni April 2, 2022  ambapo tuzo za Muziki za Tanzania zinatolewa usiku huu ikiwa miaka saba imepita bila uwepo wa tuzo hizi nchini Tanzania.

Tuzo za Mwaka huu zinatolewa kwenye ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, hapa nimekusogezea picha mbalimbali ushuhudie Mastaa na Viongozi walivyopita katika redcarpet iliyoandaliwa katika hafla hiyo.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

LIVE: UTOAJI WA TUZO ZA MUZIKI USIKU HUU, DIAMOND APEWA TUZO YA HESHIMA

Tupia Comments