Habari za Mastaa

Picha: Kutoka kwenye show ya Afro East Carnival iliyofanyika Tabata DSM

on

NI Show iliyoandaliwa na msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize iitwayo Afro East Carnival iliyofanyika Tabata Shule DSM.

Show hiyo iliyowakutana wasanii mbalimbali katika jukwaa moja wakiwemo, Ibraah, Gigy Money, Amber Lulu, Q Chief, Country Boy, Marioo, Saraphina, Stamina na wengineo.

Hapa nimekusogezea picha mbalimbali ushuhudie kile kilichojiri

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

AFRO EAST CARNIVAL: DULLA MAKABILA KWENYE STAGE AWAAMBIA MASHABIKI WATIMUE VUMBI MWANZO MWISHO

MAUNO YA AMBER LULU KWENYE STAGE, AFRO EAST CARNIVAL

Tupia Comments