Habari za Mastaa

Picha kutoka kwenye fainali za Bongo Star Search 2022

on

Ni January 14, 2022  ambapo yalifanyika Mashindano ya BSS kisha Mhiriki kutoka Dar es salaam, Brayson Yohana akaibuka kuwa  Mshindi wa Mashindano ya 12 ya Bongo Star Search na kukabidhiwa Tsh. Milioni 20 na zawadi nyingine mbalimbali kutoka kwa Wadhamini tofauti ikiwemo ofa ya kuishi bure kwa mwezi mzima kwenye appartment za Palm Village

Zawadi hizo amekabidhiwa mbele ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mechezo Mohamedi Mchengwera ambaye pia ameipa Uongozi wa BSS Tsh. Milioni 5 kama sehemu ya kuwaunga mkono Kwenye kuibua vipaji.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

MSHINDI WA BSS AFUNGUKA BAADA YA KUSHINDA MILIONI 20, MADAM RITA AJISIFIA “HII NDIO BSS YANGU BORA”

HUYU NDIYE MSHINDI WA BSS SHINDANO LA 12, APEWA MILIONI 20, APIGWA BUTWAA

Soma na hizi

Tupia Comments