Habari za Mastaa

Picha: Kutokea kwenye listening party ya Ep ya Diamond Platnumz DSM

on

Mwimbaji Staa wa Bongofleva  Diamond Platnumz  Machi 10, 2022 amefanya listening party yake ya EP yake mpya iliyosubiriwa sana iitwayo #FOA Jijini Dar es salaam ambapo hizi ni baadhi ya picha za eneo la tukio zikiwemo za Red Carpet.

Watu mbalimbali kwa mialiko maalum wamehudhuria tukio hili akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James, Mwigizaji Irene Uwoya, Mwimbaji Zuchu na wengineo.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ZUCHU ATINGA NA ROLLS ROYCE YA DIAMOND PLATNUMZ

MBWEMBWE ZA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOINGIA KWENYE PARTY, ULINZI MKALI, SHANGWE KILA KONA

Tupia Comments